Hospitali ya Rufaa ya Mkoa - Amana

dira

Dira

Kutoa huduma bora  ya Afya kwa wateja wetu kupitia wafanyakazi waliohamasishwa, wanaojitoa, wenye ari na wanaofanyakazi katika mazingira mazuri.

Dhamira

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana kuwa kioo miongoni mwa Hospitali za Rufaa za Mikoa Tanzania inayoongoza katika kutoa huduma bora na za hali ya juu za afya ambazo zinajibika kwa mahitaji ya mteja.