Hospitali ya Rufaa ya Mkoa - Amana

Fanya yafuatayo kufikisha Malalamiko/maoni/mapendekezo au ushauri

Tafadhali kama una malalamiko/maoni/mapendekezo au ushauri piga namba za simu zilizopo kwenye mbao za matangazo au kupitia sanduku la maoni lililo wekwa katika maeneo mbalimbali ya kazi-karibu