Afya ya Uzazi
Posted on: December 15th, 2024Huduma zinazopatikana hapa RCH Amana ni
- Huduma kwa wajawazito wote wenye matatizo kama
- Upungufu wa damu (anaemia)
- Wajawazito wenye shinikizo la damu (PIH)
- Wajawazito wenye kifafa cha uzazi
- Wajawazito waliojifungua kwa upasuaji (previous scar)
- Wajawazito wenye historia mbaya ya uzazi (BOH)
- Mimba zaidi ya 5
- Wajawazito waliopitiliza tarehe za makadirio (over due/post date)
- Wajawazito wenye group la damu la RH negative (RH –ve)
- Wajawazito wenye magonjwa kama kisukari, asthma,sickle cell (cell mundu)
- HUDUMA YA UZAZI WA MPANGO KAMA
- Kitanzi
- Kipandikizi
- Sindano
- Condom
- Vidonge
- Kufunga uzazi (wanawake na wanaume)
- Huduma kwa mama baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji siku, 7 na kutoa nyuzi na wale wote waliopata matatizo baada ya kujifungua mfno; kifafa cha uzazi
- Huduma ya PMTCT-kuzuia maambukizi ya virus vya ukimwi toka kwa mama kwenda kwa mtoto