Uchomaji wa Takataka (Ngumu)
Posted on: January 20th, 2026Hospitali inatoa huduma ya uchomaji taka kwa vituo vinavyozalisha taka ngumu kwa gharama ya shilingi 3,000 kwa kilo kwa kutumia mashine ya kisasa ambayo ni rafiki wa mazingira karibuni sana
Hospitali inatoa huduma ya uchomaji taka kwa vituo vinavyozalisha taka ngumu kwa gharama ya shilingi 3,000 kwa kilo kwa kutumia mashine ya kisasa ambayo ni rafiki wa mazingira karibuni sana