Malengo
Madhumuni na malengo ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana
- Kuboresha miundombinu kutoka 60% hadi 85% ifikapo 2022
- Kuongeza uwezo wa rasilimali watu kutoka 60% hadi 90% ifikapo 2022
- Kuongeza upatikanaji wa vifaa kutoka 50% hadi 75% ifikapo 2022
- Kuongeza upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kutoka 80% hadi 95% 2022
- Kuboresha usafirishaji kwa kuongeza idadi ya magari kutoka 2 hadi 4 ifikapo 2022
- Kuboresha mifumo ya usimamizi wa data kutoka 70% hadi 95% ifikapo 2022
- Kuboresha huduma za afya ya uzazi na watoto kutoka 80% hadi 95%