Hospitali ya Rufaa ya Mkoa - Amana

Huduma zetu

Huduma zinazopatikana hapa RCH Amana ni

 • Huduma kwa wajawazito wote wenye matatizo kama
 • Upungufu wa damu (anaemia)
 • Wajawazito wenye shinikizo la damu (PIH)
 • Wajawazito wenye kifafa cha uzazi
 • Wajawazito waliojifungua kwa upasuaji (previous scar...
readmore
 • Huduma ya chanjo kama vile 
 • Tetanus (T.T)
 • Chanjo kwa watoto wachanga
 • Chanjo ya kuzuia homa ya ini (Hepatitis B)
 • Chanjo ya kichaa cha mbwa (ant-Rabies)
 • HPV (Human Papilloma Virus)
readmore

Hospitali inatoa huduma ya uchomaji taka kwa vituo vinavyozalisha taka ngumu kwa gharama ya shilingi 3,000 kwa kilo kwa kutumia mashine ya kisasa ambayo ni rafiki wa mazingira karibuni sana

readmore