Hospitali ya Rufaa ya Mkoa - Amana

Uchomaji wa Takataka (Ngumu)

Posted on: May 21st, 2024

Hospitali inatoa huduma ya uchomaji taka kwa vituo vinavyozalisha taka ngumu kwa gharama ya shilingi 3,000 kwa kilo kwa kutumia mashine ya kisasa ambayo ni rafiki wa mazingira karibuni sana