Hospitali ya Rufaa ya Mkoa - Amana

Karibu na shiriki na Rafiki wa Amana

Mhe Rais .Dr. Samia Suluhu Hassan ataongoza harambee ya kuchangia upanuzi na ukarabati wa majengo Ya huduma ya Mama na mtoto kwa Ajili ya hospitali ya Rufaa ya Mkoa - Amana
Tukio hili la kihistoria litafanyika terehe 25 october 2024 katika Ukumbi wa Mlimani City.Andika jina lako kwa wino wa dhahabu katika kuta za hospitali ya Amana kwa kuchangia vifaa tiba, vifaa vya ujenzi au fedha taslim kupitia tigo lipa No. 18852100 jina Hospitali ya Amana
au Kupitia account No 9921169807 Jina Dar es salaam subtresury andika lengo ni Upanuzi Hospitali ya Amana fedha hii itaingia moja kwa moja BOT
Zaidi panga kuhudhuria tukio hilo ukutane uso kwa uso na Mhe Raisi
Kwa maelezo zaidi Piga simu No. 0765043474 au 0763060626

- 10 October 2024