LISHE
Posted on: November 26th, 2019HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA IDARA YA LISHE
Huduma zetu zinapatikana muda wote wa kazi katika siku tano za wiki
Tunatoa unasihi, tunaelimisha, tuafanya ugunduzi na kusaidia watu wote wenye lidhe duni wanaokuja kutibiwa na waliolazwa hapa hospitalini
Tunatoa elimu ya lshe kwa wajawazito na wanao nyonyesha wanaokuja kliniki na waliolazwa hapa hospitalini.
Pia, tunapokea rufaa zote kutoka vituo vya Afya na Zahanati nje na ndani ya Ilala
MAFANIKIO
Tumeweza kwa kiasi kikubwa kutibu na kupunguza utapiamlo kwa wale wote waliokuja Amana kutafuta matibabu kwa kawapa ushauri na tiba kwa kuwapa chakula lishe na maziwa lishe